SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Look Chic Wearing Dad Sneakers Courtesy Of Toke Makinwa
Mitindo

How To Look Chic Wearing Dad Sneakers Courtesy Of Toke Makinwa 

Dad / Ugly sneakers zili-trend sana mwaka jana 2020, watu maarufu wengi walionekana kuzivalia lakini pia hata wasio maarufu ambao walipenda mtindo huu wa viatu walivinunua. Kama kawaida ya trend huwa inakuja na kuondoka kwa sasa hazionekani sana, lakini kama unavyo kabatini haimaanishi usivivae kwa kuwa tu trend imepotea.

MitindoThe Ugly Sneakers Zinavyo Trend Kwa Sasa

Leo tunakuonyesha namna nyingine ambayo unaweza kuvaa viatu hivi na kupumzisha miguu yako na heels ulizozivaa weekdays.

Spotted Rayvany Na Billnass Wakiwa Wamevaa Balenciaga Ugly Sneakers

Co Ord Sets – Toke amekuwa aki-slay co ord sets zake na dad sneakers, the shoes made the outfit stand out, japo nguo ni nzuri ila ukiangalia miguuni unasema ni kitu cha tofauti. Hakikisha rangi unazovaa zinashahabiana.

Dresses – Toke amakuwa kivaa viatu hivi na magauni iwe bandage dress au slip dress, kuifanya outfit isionekane casual sana huwa anaongezea vinogesho kama bags, miwani, hereni pamoja na bangili.

Well let us know je umepata idea ya kuvaa sneakers zako weekend hii?

Related posts

3 Comments

 1. เด็กเอ็น

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-chic-wearing-dad-sneakers-courtesy-of-toke-makinwa/ […]

 2. 수기결제

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-chic-wearing-dad-sneakers-courtesy-of-toke-makinwa/ […]

 3. 뉴토끼

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-chic-wearing-dad-sneakers-courtesy-of-toke-makinwa/ […]

Comments are closed.