SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Look Not So Casual In T-shirt & Jeans
Mitindo

How To Look Not So Casual In T-shirt & Jeans 

Weekend imefika na kama wewe ni mpenzi wa kuvaa t-shirt na jeans weekend basi hii inakuhusu hasa, Wanasema hakuna mtu ambae hapendezi na T-shirt na jeans (kitu ambacho ni kweli kabisa) lakini kuna kipindi unaona kabisa outfit yako imekuwa too casual au iko bored japo umependeza, kwa wale ambao hampendi kuwa 50/50 basi leo tunakuletea tips za namna ambavyo unaweza ku level up outfit yako ya T-Shirt na Jeans

  • Chomekea 

Wengi tumezoea tukivaa t-shirt & jeans basi t-shirt tunaiachia iwe loose, well kuongezea utofauti katika muonekano wako unaweza kuchomea t-shirt yako, hii itasaidia kufanya uonekane polished, clean lakini pia kupata proportion  ya kuonekana kiuno na kiwili wili viko wapi.

Lavidoz 

  • Ongezea Belt 

Wengi huwa tunavaa belt lakini t-shirt tunaiacha loose, unaficha belt ambayo ingeongeza chachu katika muonekano wako, belt inaongeza attention katika muonekano wako unaonekana ume-make effort katika ku-put on the outfit.

ms_massota

  • Ongezea Blazer Juu

Kama ungependa kuonekana more polished, hutaki kuonekana too casual au too formal basi unaweza kuvaa t-shirt na jeans ukaongezea na blazer juu inaweza kuwa colorful lakini pia inaweza kuwa neutral depends na wewe unataka attention kiasi gani na wapi unaenda. Japo unaweza kuvaa na flats lakini kama utaongezea na heel shoes inanoga zaidi.

Azure Kange

  • Tie A Knot 

Hili ni geni na huwa halifanyiki mara kwa mara hasa hapa Tanzania, we need stylist wawe wanatupa hizi tips. Kufunga fundo kwenye T-shirt yako kuna make a vary huge different unakuwa more stylish na tofauti, lakini pia huwezi kutembea hivi barabarani utazomewa hii inafaa sana kama utakuwa beach, au unamitoko na marafiki zako usiku na hujisikii kudress up sana.

Beauty Graham

  • Accessories with statement pieces / pop of color 

Ili kuongeza muonekano wako uonekane not too casual unaweza kuongezea statement accessories kama viatu ambavyo vina catch attention ya watu, unaweza kuvaa mikufu, hereni, miwani au kofia ambazo zinaustatement fulani ndani yake.

Well ni matumaini yetu tumekusaidia katika ku-upgrade muonekano wako wa t-shirt na jeans week hii, have a lovely weekend and be safe.

Related posts

6 Comments

  1. Buy Mushroom Online Perth

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-not-so-casual-in-t-shirt-jeans/ […]

  2. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-not-so-casual-in-t-shirt-jeans/ […]

  3. fryd disposable vape

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-not-so-casual-in-t-shirt-jeans/ […]

  4. https://www.buoyhealth.com/blog/health/phenq-reviews

    … [Trackback]

    […] There you will find 6727 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-not-so-casual-in-t-shirt-jeans/ […]

  5. nakeebet

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-not-so-casual-in-t-shirt-jeans/ […]

  6. dig this

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-not-so-casual-in-t-shirt-jeans/ […]

Comments are closed.