SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Look Put Together Always
Mitindo

How To Look Put Together Always 

Kunawatu kilasiku tunawaona wanaonekana put together, yaani mionekano yao inavutia mbele ya macho yetu kwa kuonekana stylish na chic. Wengi huwatunajiuliza wanawezaje na sisi tunakwamba wapi? well leo tunawaletea ni nini huwa wanafanya na wewe pia unaweza kufanya uonekane kamawao.

 • Wanajua Uchawi Upo kwenye Details

Vitu vidogo sana ndivyo ambavyo vinaweza kukufanya uonekane chic na tofauti na wengine, mfano kuchomekea nusu, kukunja mikono ya shirt, kukunja suruali chini, vitu vidogo vidogo vinaweza kukupa utofauti na kufanya outfit yako kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

How To Dress Powerfully

 • Wanajua Umuhimu wa Vazi Kukufit Inavyotakiwa

Kuna rule mbili ambazo unatakiwa kufuata 1) Jua umbo lako na mavazi yanayokufaa 2) Kuwa rafiki na fundi nguo, ukiangalia watu wengi ambao tunawaita fashionista’s mavazi yao huwa kama wameshonewa mwilini yanawatosha inavyo takiwa hii huongeza kufanya muonekano wako uonekane vizuri ( Un fitted clothing are very unflattering )

 • Wanachagua Material Zinazoendana

Yes kuna material za nguo ukivaa zinakingana na kunazile ambazo ukivaa zinaendana na kuleta mvuto kwenye vazi lako, inabidi ujue material yapi yanaendana na yapi lakini tu sio material bali pia rangi za mavazi.

 • Wanajali Kucha Zao

Unaweza kudhani hakuna mtu ana notice kucha zako au labda kudhani kucha haziongezi au kupunguza kitu kwenye muonekano wako, No! Kuna vitu vitatu ambavyo unaweza usitilie maanani lakini vinaweza kuubeba na kuupunguza muonekano wako navyo ni kucha, viatu na nywele hakikisha unavijali sameway unavyojali vingine.

Look Expensive For Less 

 • Wanavaa Mavazi Ambayo Wapo Comfortable Nayo

Kuwa unashusha shusha gauni au skirt fupi uliyovaa inaweza kuufanya muonekano wako usionekane mzuri hata kama umependeza kiasi gani, hakikisha unavaa mavazi au viatu ambavyo upo comfortable navyo.

The Art Of Making Cheap Clothes Look Expensive

 • Kujiamini

But regardless of what you’re wearing, your posture speaks volume. Hold your chin up, your shoulders back and your tummy in. And whatever it is you’re wearing will suddenly hang the way it’s supposed to.

Related posts

6 Comments

 1. explanation

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-put-together-always/ […]

 2. pop over to these guys

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-put-together-always/ […]

 3. สลอดออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Here you will find 35921 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-put-together-always/ […]

 4. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-put-together-always/ […]

 5. Testing automation tools

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-put-together-always/ […]

 6. Albino Penis Envy Mushrooms – 4 Oz,

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-look-put-together-always/ […]

Comments are closed.