Pantone wame release rangi ya mwaka 2017, na inaitwa greenery ina ashiria mwanzo mpya,fresh na calm. Ni moja kati ya shades za rangi ya kijani.
kwetu tumeipenda japo its not easy to go green. Ni rangi nzuri as kila unapo pita ni lazima ukutane nayo kama sio majani basi miti au matunda nakdhalika so mwaka huu tunaenda kuwa vegetarian and we love it.
wengi wana sema ni ngumu kuvaa rangi hii ngoja tukupe tips chache za jinsi ambavyo una weza kufanya maisha yako kuwa rahisi ku rock hii rangi
Mix it na prints nyingine, kama hio skirt hapo kuna rangi nyingi lakini una weza kuiona greenery inavyoo shine bright
au kama hii gauni hapa mix it na prints nyingine itakua rahisi kwako kuvaa
jumpsuit game
nyeupe na green ndio chaguo bora zaidi it always work, kama skirt ya greenery vaa na white shirt
colorsul maxi dress iliyo na greenery color ndani yake
Black & green
greenery ni shade ya green kwaio una weza kuvaa a floral dress yenye greenery na dark shoes za green au handbag
Accessories kama ni clutch na mkufu wa rangi hio, ina weza kuwa hereni, bangili etc
greenery shirt
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…