Siku hizi ukiwa bibi harusi unakuwa na kazi mbili ya kwanza kupata dream wedding dress yako, lakini ya pili ni kuipata yenye matakwa yako pia nzuri ya kukufanya upendeze zaidi kuliko wageni waalikwa,yes ukifanya masikhara unafunikwa tu watu hawajali kama ni siku yako special so you better slay au uharibiwe siku (lol), talking about slayers leo tunamuongelea mwanadada Ini Dima Okojie ni muigizaji kutoka Nigeria, Ini dont play when it comes to fashion, ana hakikisha every time she steps out she step to kill.
Leo tunakuletea Tips na wedding guest outfit ideas tulizo zitoa kutoka kwake
Go Bold – kama ni bold color au mshono just make a statement, make sure they turn heads ukiingia.
Kuwa classic na wa kisasa – hakikisha outfit yako ina classic touch kama ni design au kitambaa, kitu ambacho kitakufanya uonekane tofauti na wengine
- Confuse them – wakati kila mtu akitaka kuvaa sare lakini pia kuvaa magauni marefu wewe chagua short outfit with less sare touch’s this will make you stand out.
- Show some skin – wakati wengine wakifuata wedding guest rules wewe vunja kidogo, wanasema usionyeshe ngozi (dont show skin) katika harusi ya mwenzio but what if ukionyesha a lil bit of your flawless skin? kama uta ongeza a slit au kuvaa off shoulder any of your choice
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 11815 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-slay-as-a-wedding-guest/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-slay-as-a-wedding-guest/ […]