SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Slay Red On Valentines Day Like A Fashionista
Mitindo

How To Slay Red On Valentines Day Like A Fashionista 

Mwezi wa pili ni huwa mwezi wa upendo, mwezi wa kushare love na wapendwa wako iwe mama, baba, kaka,dada nk. Basi mwezi huu kwa kuwa ni wa upendo wengi tunapenda kuuwakilisha kwa kuvaa nyekundu, rangi nyekundu ina wakilisha upendo au mapenzi japo pia husimama kama hatari. Ikiwa tumebakiwa na siku kadhaa kufikia siku ya Valentine day tunakuletea ideas chache za nini uvae siku hio kama unatoka na mpenzi, washkaji na hata familia.

Wear red like you arent wearing it – kuna wale ambao hawapendi kuwa extra katika siku hii, hawa wengi utawakuta wamebeba pochi jekundu, wamevaa viatu vyekundu, wame accessorize na accessory nyekundu au wamevaa top, suruali au skirt nyekundu yaani wana jipresent na kitu kimoja chekundu.

Stylish ways za kuvaa hivyo kwa sasa unaweza kuvaa a statement red to na pallazo kama BLAKE VON D a stylish attorney

Lakini pia nyekundu inaenda perfect well na nyeusi, unaweza kuchanganya rangi hizi kwa kuvaa t-shirt au shirt nyekundu na pants, short skirt, trouser nyeusi na kuaccessorize upendavyo unaweza kuangalia idea kutoka kwa the_cocopolitan

Full red – kuna wale ambao wanapenda red na wanapenda ku step out in full red tunae full red diva ambae ni fashionista Bonang M kama ni mtoko wa kawaida unaweza vaa casual kama yeye red top, red beret, red shoes na red glasses well lakini pia unaweza kuvaa vile upendavyo mwenyewe.

Au unaweza kuwa totaly diva kwa kuvaa red jumpsuit, red heels na fur coat, she makes full red lokes amaizing.

Au unaweza kuwa a red sexy mama kama chicamastyle  hizi zinaweza kuwa ile mitoko ya usiku na mpendwa wako going extraaa

Well tunamsahauje sasa living_my_bliss_instyle

ni matumaini yetu umepata idea ya nini unaweza kuvaa siku hio, usisahau kututag mtoko wako wa tarehe 14 february.

Related posts

2 Comments

  1. buy cvv

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-slay-red-on-valentines-day-like-a-fashionista/ […]

  2. Albino penis envy mushrooms

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-slay-red-on-valentines-day-like-a-fashionista/ […]

Comments are closed.