Fashionista utoka Nigeria Sade Akinosho ametuonyesha how to slay skater skirt kama off shoulder top. Sade au unaweza kumpata Instagram @S4de_u mara ya kwanza alivaa skirt hio na thigh high boots.. top na kofia wakati mara ya pili aliivaa skirt hii kama Off shoulder top na palazzo knee trouser. Na heels nyeusi tumependa jinsi alivyokuwa creative kama unaskater skirt yako na um choka kuivaa kwa namna moja una weza kumuiga sade kwa kuistyle kwa namna nyingine.

1 2 3

 

Comments

comments