SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Slay The Remained Days Of Ramadhani
Mitindo

How To Slay The Remained Days Of Ramadhani 

Ramadhani inaishia tupo kwenye kumi la mwisho na kwa wengi wetu haya mavazi tunayo yavaa sasa hatuto yavaa tena mpaka Ramadhani ya mwakani In Sh Allah, au kwenye sherehe tofauti tofauti zitakazo hitaji kuvaa mavazi haya. Kwa kuliona hilo tukaamua kuwaletea namna ya ku-slay siku zilizo bakia za Ramadhani.

Caped Dress

kaftan Dress

Striped two pieces

black & white

 

Related posts

Leave a Reply