SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Spice Up Your Pumps For The Weekend
Mitindo

How To Spice Up Your Pumps For The Weekend 

Weekend ikifika huwa kuna hafla mbalimbali ambazo unatakiwa kuhudhuria, iwe harusi, birthdays, au mitoko ya usiku. As much we love one color pumps kwa ajili ya kwendea kazini au kwa mavazi ya kutokea ambayo yanahitaji plain shoes, wakati mwingine tunatamani kuzivaa lakini tunatamani zingekuwa na bling bling kidogo kuzipa statement look.

Well ni rahisi unaweza kufanya hivyo na hili tumeliona kwa make-up artist Grace Malikita au Cherie Mals alivyoweza kuzipa pumps zake  muonekano mwingine wa tofauti.

Unacho hitaji ni hizi statement anklets, ni kama kikuku ambaco kidogo kina bling bling lakini pia unaweza kuvaa kutokana na jinsi unavyo pendelea kama hupendi iwe statement sana unaweza kuchukua ambazo zipo kawaida, za shanga za kimasai etc. Gracie yeye alipenda kupata a statement look akachagua hizi  CRYSTAL ANKLET

 

well anklet zinavaliwa sehemu tofauti tofauti kwa wenzetu ambao ni mila yao kama wahindi wao huzivaa zikiwa na maana tofauti pia lakini hasa huvaa kwenye sherehe kama harusi. Well back to ku decorate pumps zako unaweza kuvaa hapo kama Cherie na kuvaa na pumps kwa juu

Kama ambavyo unaona pichani, zilikuwa simple blue pumps lakini alivyo ongezea hizo anklet zikawa na mvuto fulani wa kutaka kuangalia viatu vyake, na pia unaweza kubadilisha na vulia kwa viatu tofauti tofauti, bado ukawa hujaaharibu zile plain pumps zako na bado ukaweza kuzifanya ziwe statement kila unapo hitaji ziwe hivyo.

You can wear them to a wedding or a party.

Related posts

4 Comments

  1. พนันบอล

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-spice-up-your-pumps-for-the-weekend/ […]

  2. 4 aco dmt massachusetts,

    … [Trackback]

    […] There you can find 95229 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-spice-up-your-pumps-for-the-weekend/ […]

  3. this post

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-spice-up-your-pumps-for-the-weekend/ […]

  4. one up gummies colorado springs

    … [Trackback]

    […] There you will find 2936 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-spice-up-your-pumps-for-the-weekend/ […]

Comments are closed.