SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Stop Being Fashion Regular
Mitindo

How To Stop Being Fashion Regular 

Tunapo ongelea kuwa regular ni vile kuwa sawa na kila mtu, well kila mtu anaweza kuvaa t-shirt na jeans au kuvaa gauni plain na high heels na kutembea njiani hii ndio inaitwa fashion regular, lakini how do you stop this na kuwa wa pekee ( standing out)? leo tunakuletea vile ambavyo unaweza kutumia tips hizi kuacha kuonekana kama ambavyo kila mtu anaonekana na kuwa wa tofauti kidogo.

How To Look Not So Casual In T-shirt & Jeans

  • Jiamini

Hiki ni kitu cha kwanza ambacho unatakiwa kukifanya, chochote ambacho umevaa kuwa na confidence nacho kuanzia mwendo mpaka serving faces, unapo kuwa una doupt katika uso wako au mwendo wako inaonekana kwamba hata wewe mwenyewe huelewi au hujakipenda ulicho vaa kwa maneno ya ufupi tuna weza kusema “Wear The Cloth Don’t Let The Cloth Wear You”

  • Accessorize 

A belt, clutch, necklace, earrings, watch, socks, blazer au saa zinaweza kuleta tofauti kubwa katika muonekano wako, jifunze namna ya kutumia hivi vitu ipasavyo. wanasema kuvaa suruali, shirt na viatu ni outfit lakini adding up some accessories ni uplifting an outfit. Jitahidi kila unapo kuwa unataka kutoka uongezee vitu vichache ku-accessorize muonekano wako.

  • Spice It Up

Ku spice an outfit sio tu kuvaa na accessories unaweza kuvaa shirt backward, kuchomekea, unaweza kujaribu kufanya kitu cha tofauti ili tu uonekane tofauti na wengine, hapa unahitaji kuwa muangalifu kwa maana unaweza kukosea ukaonekana kituko.

 

  • Dont Follow The Trend But If You Do Make It Your Way 

Kwa sababu umemuona fulani kavaa haimaanishi na wewe uvae, basi kama utataka kuvaa au umependa hilo vazi do it your own way usitake mfanane kila kitu.

Related posts

3 Comments

  1. Buy DMT vape Australia Perth

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-stop-being-fashion-regular/ […]

  2. cam bbw plays with tits

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-stop-being-fashion-regular/ […]

  3. https://exotichousedispensary.com/product/boutiq-vapes/

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-stop-being-fashion-regular/ […]

Comments are closed.