A graphic tee is a must have, they never go out of style. Huwa zina pumzishwa tu lakini graphic tee ni timeless essential zimekuepo tangu na tangu, mwaka huu tumeona designers mbali mbali wakitumia maneno mbalimbali ya ku-empower katika t-shirt zao tumeona watu maarufu mbali mbali wakivaa hizi t-shirts including our favorite fashionista Rihanna, We spotted some fashionistas wakiwa wamevaa t-shirt hizi tumeona tuwaletee ni namna gani unaweza ku style graphic tee yako like a pro.
Kidsevents kutoka Tanzania ametuonyesha ambavyo unaweza kuvaa graphic tee with high waist trouser, ame ongezea na little handbag (which is a trend) na orange pumps ambazo ame match na rangi ya kipochi, So Chic!
Graphic Tee With Skater Skirt, Yes Please. Unaweza kuvaa hivi ukiwa unaenda casual business meetings au cruising around na mabestie.
Kefilwe Mabote yeye amevaa graphic tee yake na short denim skirt, black pumps huku akiwa amemalizia na beret hat na miwani.
Tumependa hii kutoka kwa therealrhonkefella, yeye ame style t-shirt yae na wide legs ankara teouser amemaliza muonekano wake na clear glasses na big rounded earrings
ni matumaini yetu umepata idea ya jinsi gani unaweza kuvaa graphic tee yako, don’t throw it away.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 94200 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-style-graphic-tee-like-a-fashionista/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 75568 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-style-graphic-tee-like-a-fashionista/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-style-graphic-tee-like-a-fashionista/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-style-graphic-tee-like-a-fashionista/ […]