SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Style Your Boubou Like A Rich Auntie
Mitindo

How To Style Your Boubou Like A Rich Auntie 

Boubou au buubuu ni upgraded version ya kijora, ni gauni la moja kwa moja ambalo unaweza kuvaa kwenye mizunguko ya kilasiku, tofauti ya vazi hili na kijora ni kwamba hili lina material nzuri na pia lina-style tofauti tofauti.

Ikiwa tumeona lina trend kwa sasa tunakuleta tips ya kulinogesha ukaonekana kama rich auntie

  • Statement accessories ni njia nzuri ya kuboresha muonekano wako unaweza kuvaa hereni, pete, mkufu ambao una catch attention, hakikisha accessories hizi zinaendana na outfit yako.
  • Perfect bag na classy shoes, hivi vinaenda bega kwa bega. Viatu na mkoba vinaweza kutoa muonekano wako kutoka 0 kwenda 100 lakini pia rangi ziwe zinaendana na mavazi yako
  • Kunogesha muonekano, Ongezea saa, kikuku, bangili etc hivi ni vichachandu / vinogesho katika mavazi yako.
  • Kama unataka ku-make a statement look unaweza kuongezea kofia au hata miwani ili kuupa statement muonekano wako.

Ukiwa unatoka weekend hii basi hakikisha unajitahidi kunogesha muonekano wako kwa kutumia hizi tips tulizokupa

Related posts