SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How To Wear Suit All Week
Mitindo

How To Wear Suit All Week 

Tunamaliza week ya mwisho ya mwezi wa kwanza katika mwaka 2018, yes we have to end this month with style maana sio kwa ugumu wa mwezi huu kama ume survive inahaja ya kujipongeza. Well tumefikiria kumaliza week hii in suit, suit ni timeless elegant piece ambayo hubadilika kutokana na mitindo lakini hadhi yake inakua vilevile.

Ukivaa suit inakuletea heshima katika jamii somehow wale watu wakubwa ndio wanavaa suit ni vazi ambalo linaheshimika huwezi kumkuta mtu anapiga debe na suit, linaheshimika kiasi ambacho kuna sehemu chache ambazo unaweza kuzivaa kazini, kwenye sherehe, business meetings etc.

Well back to our topic  ni vipi unaweza kurock suit the whole week just be creative ya namna za kuzivaa bila kuwa bored

 • Start With Bold Colors – hii ni our favorite tip popote pale tunapo taka kuanza week, hii inakufanya uanze week yako na furaha wana sema colors bring’s hapiness, unaweza ku-mix up unavyo weza lakini leo tumekuletea idea kutoka kwa Jokate Mwegelo ambae yeye amevaasuit yenye rangi ya blue she looks elegant & ready to conquer the world.

 

 

Au red suit kama fashionista Angodiva

Our Own Model Maggie_Vampire akiwa amevaa suit kutoka kwa mbunifu kutoka Tanzania @speshoz ni mfano mzuri wa powerful woman in suit, head ups,Nice hair style na a good polished suit.

Na hii ya skirt siku nyingine, unaweza kubadilisha viatu na kuvaa pumps and style your suit to your own style.

 

Burgundy to brighten up that work look, zari ame ivalia suit yake na red top unaweza kubadilisha na kuvalia nyeupe au rangi yoyote ambayo umeichagua.

Can we say meena makes a goood model? well Meena in Ki2pe brown suit, ni perfect color ya hii hali ya hewa.

Plaids zinatrend kwa sasa kama una plaid suit ni wakati mzuri wa kuivaa sasa.

Tunakutakia mwaka mpya mwema we hope you slay the end of month

Related posts

3 Comments

 1. buy remington guns

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-wear-suit-all-week/ […]

 2. psilocybin therapy pennsylvania​

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-wear-suit-all-week/ […]

 3. สล็อต ฝากถอน true wallet เว็บตรง 888pg

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-to-wear-suit-all-week/ […]

Comments are closed.