Weekend Imefika na as usual weekend huwa tunapenda kuwa kwenye casual na comfortable fits. Lakini hii haimaanishi outfit yako iwe bore, umeshawahi kufikiria ni vipi watu maarufu wanavaa tshirt na jeans lakini wanapenda mno? basi leo tunakupa tips za nini unaweza kufanya ku-transform outfit yako.
- Large Earrings – Ongeza hereni kubwa katika vazi lako ni namna nzuri ya kuweka statement, lakini pia unaweza kuongezea mkufu wenye kidani au chunky necklace
- Tafuta Classy Bag Na Comfortable Shoes – Hizi zinaenda pamoja hakikisha una consider rangi pia ziwe zinaendana.
- Ongezea Kofia, Bangili Au Saa – Kama si mpenzi wa kofia basi nywele zako ziwe vyema, na hakikisha mkono haupo empty.
- Sunglasses, Bold Lipstick & Belt – Oh yes hivi navyo ni namna nyingine unaweza ku-transform outfit yako kutoka kwenye bore kwenda boujiee
Angalia Mifano kutoka kwa Mihlali hapa chini
Tunakutakia a slaying weekend
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…