SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Zarina Hassan Took Her Pajama’s Out Of Bed
Habari

How Zarina Hassan Took Her Pajama’s Out Of Bed 

Zarina Hassan A.K.A Zarithebosslady jana alikuwa ana deal ya GSM Mall outfit take ilukuwa floral pajama’s ambayo imeleta a lot of controversial kwenye social media wengi wakisema kavaa nguo za kulalia,

 

lakini in fashion world pajama zimekuwa zikitrend designer mbalimbali wakubwa wamebuni pajamas Kama mitoko ya saa za kawaida mchana,usiku na asubuhi.

Zimeonekana kwenye runway nyingi za designers mbalimbali wakiwepo Stella Jean; Dolce and Gabbana; Gucci wame design nguo hizi, katika namna ya kuvaliwa katika saa za kawaida na kutumia vitambaa mbalimbali kama floral, silk na stripes

 

 

Tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia hii trend na wengine waliingia nazo hadi red carpetRihanna yeye aliamua kuvaa trend his katina red carpet japo ameonekana nayo pia mitaani tunaweza kusema ni moja kati ya trend alizo vutiwa nazo tumesha muona pia in silk night dress mtaani.

Tumemuona mwanamitindo maarufu pia Gigy Hadid in stripes pajamas

Fashion Blogger Chicmystyle nae hakuwa nyuma katika kuwakilisha kwenye trend hii

Kwa hapa kwetu tumewaona watu kama Vanessa Mdee na Hapiness Magesse wakiwa wamevalia trend hii amevaa floral pajamas yenye rangi kama kijani, nyeupe na nyeukundu, amevalia pajama hizo na pointed heels nyekundu huku akiwa amebeba a medium red handbag ambayo ali match na rangi nyekundu iliyo shout kwenye outfit yake. Ame rock trend nyingine ambayo ni long hair lakini akamaliza kwa ku accessorize mtoko wake na saa na big hoop earrings 

So its safe to say Zari is fashion foward amejua whats trending na amevaa akapendeza,

 

Related posts

2 Comments

  1. buy valium roche 10mg

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-zarina-hassan-took-her-pajamas-out-of-bed/ […]

  2. greasy pink strain info

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/how-zarina-hassan-took-her-pajamas-out-of-bed/ […]

Leave a Reply