SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HUWEZI KUAMINI KUWA WANA WATOTO (5 BORA)
Mitindo

HUWEZI KUAMINI KUWA WANA WATOTO (5 BORA) 

1)Jacqueline Ntuyabaliwe alisha wahi kuwa miss Tanzania kabla ya kuingia katika muziki, lakini kwa sasa ana fanya biashara zake binafsi nchini na Afrika Kusini. Jacquline ni mmoja kati ya wasichana kwasasa ni mama wanao penda mitindo na hajawahi kubadilika toka mwanzo akiwa msichana na mpaka sasa ambapo ni mama. Jacquiline ana watoto mapacha wa kiume

jacque1pr

 

2)Nancy Abraham Sumari NI mtangazaji, mwanamitindo, Miss Tanzania 2015 na pia Queen Africa 2015 amewahi kushiriki Miss World na kushika nafasi ya sita (6). Amezaliwa mkoani Arusha Tanzania mwaka 1986. Ana mtoto mmoja anaitwa Zuri. Mwanadada huyu Hajawahi kukosea katika swala zima la mitindo toka aanze kujulikana.

IMG-20130626-WA009_editNancy-Sumari.

nancy-sumari

 

 

 

 

 

 

 

3)Hamisa Mobetto ni mwanamitindo pia ni muigizaji ambae amejifungua muda si mrefu, lakini radha yake katika mitindo ni ile ile. Hamisa ni mfano wa kuigwa na wamama ambao ndio kwanza wame jifungua amerudi katika hali yake ya kawaida mara tu baada ya kujifungua na ukimuona huwezi kuamini kama ni mama. Hamisa ana mtoto mmoja wa kike.

11117145_464717397016717_597790593_n

IMG_4702

 

 

 

 

 

 

 

 

 

4)Kajala Masanja Ni muigizaji pia mfanya biashara na ni mkurugenzi mtendaji katika kampuni yake iitwayo KAJALA ENTERTAINMENT COMPANY. Ni kati ya wamama wanao jipenda na wanaojua nini maana ya mitindo. Ana motto mmoja wa kike.

Kajala-1

kajala+(4)

 

 

 

 

 

 

 

 

 

5) Zamaradi Mketema ni mtayarishaji wa kipindi cha Luninga cha Take One, pia ni mtangazaji katika hiko kipindi kirushwacho Clauds Tv. Ana watoto wawili lakini hio haimzuii yeye kuendeleza utamaduni wake wa kuvalia kisasa

11206006_867830639957330_7720716560750110412_n

zamaradi+1

 

 

 

 

 

 

 

 

Related posts

3 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] There you will find 21363 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/huwezi-kuamini-kuwa-wana-watoto-5-bora/ […]

  2. ฝาก ถอนเงิน สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

    … [Trackback]

    […] Here you will find 22858 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/huwezi-kuamini-kuwa-wana-watoto-5-bora/ […]

  3. turkey tail mushroom capsules reddit

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/huwezi-kuamini-kuwa-wana-watoto-5-bora/ […]

Leave a Reply