Mwanamitindo wa ki-Mataifa kutoka Tanzania Herieth Paul amejifungua hivi karibuni, Herieth amekaribisha new member katika familia yake Feb 10 mwaka huu 2021 ambae ni mtoto wa kiume aliyepewa jina Raiel.
Herieth amekuwa akitupia picha mitandaoni baada ya kujifungua zinazomuonyesha amepungua mwili kwa kiasi fulani ambapo wadada wengi walionekana kuvutiwa na hili na kumuuliza maswali amewezaje kupunguza mwili kiasi hiko.
Moja ya comment katika picha zake inasema " Jamani mnafanyeje mpaka matumbo mnakuwa na flat tummy ivo..been struggling to lose my belly fat ..4 yrs down the line now"
Herieth alichukua muda wakekujibu maswali haya kwa kusema kwamba bado mwili wake haujarudi ni namna tu anavyo-pose kwenye picha lakini pia anaupenda mwili wake huu mpya na yupo proud nao.
lakini mwisho kabisa akamalizia kwa kusema yupo proud na mwili wake huu mpya

Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/i-love-my-new-body-and-im-proud-of-it-new-mom-herieth-paul/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/i-love-my-new-body-and-im-proud-of-it-new-mom-herieth-paul/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 23658 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/i-love-my-new-body-and-im-proud-of-it-new-mom-herieth-paul/ […]