Hamisa Mobetto ni mwanamitindo ambae amemudu kukaa katika nafasi yake japo kuwa ame jifungua, Hivi karibuni tulimuona Hamisa katika kigauni fulani kizuri na viatu virefu vya nude.
Katika Tag ya Hamisa alionyesha kanunua kivazi hiko katika duka la mtumba online ambapo wanauza mavazi kwa bei rahisi kidogo (@mitumbaclassiccollection)bei ya mavazi yao ni kuanzia Tsh 10,000 mpaka tsh 40,000.
Hapo ndipo tulipoona kumbe inawezekana ukavaa kitu cha bei rahisi lakini ukapata muonekano mzuri kabisa.
Katika pitapita zetu tukakutana na account pia ya mtumba (@mitumbazishoes) ambayo wanauza viatu vya mitumba vya kike na kiume, tukaona kiatu kama kile cha Hamisa kinatofautiana kidogo tu,
bei ya bidhaa zao hawa ni huanzia 15,000 mpaka 35,000
unaweza kuwa follow wauzaji wa bidhaa hizo katika hizo account zao instagram ili kupata muonekano wa ki star kama wa Hamisa.
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/iba-muonekano-hamisa-mobetto/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iba-muonekano-hamisa-mobetto/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 4168 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/iba-muonekano-hamisa-mobetto/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/iba-muonekano-hamisa-mobetto/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iba-muonekano-hamisa-mobetto/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iba-muonekano-hamisa-mobetto/ […]