SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

IDEAS ZA MITOKO SANAA FASHION SHOW LAUNCHING PARTY
Mitindo

IDEAS ZA MITOKO SANAA FASHION SHOW LAUNCHING PARTY 

Ikiwa tunaelekea katika lile Tamasha la Sanaa Fashion Show, Kesho (jumamosi) kuna party ya kuzindua Tamasha Hilo.

Kabla ya kukwambia uvae nini inabidi ujue tamasha hili Sanaa Fashion Show lina uhusiana na nini, hili ni Tamasha la kuinua vipaji vya chini ambavyo vina uhusiana na Fashion, kama wabunifu wa mavazi, wabunifu wa urembo, viatu pia wanamitindo hii ndio nafasi yao kujitangaza katika majukwaa.

Baada ya kujua hilo basi ngoja tuwaonyeshe ideas za nini uvae katika uzinduzi wa tamasha hili hapo kesho, kama walivyo sema kwenye poster ya tangazo lao kwamba hii ni party kwaio hatutegemei kuona miburuzo kwa sababu ni party inatakiwa uwe comfortable kutoka sehemu moja kwenda nyingine au ku cheza mziki mzuri utakao kuwepo

 

LONDON, ENGLAND - SEPTEMBER 16:  Cara Delevingne attends as Ambassador Barzun, Mrs Brooke Barzun and Alexandra Shulman celebrate London Fashion Week at Winfield House in association with J Crew and Vogue on September 16, 2014 in London, England.  (Photo by David M. Benett/Getty Images)
unaweza kuvaa Tuxedo dress na heels kama bi dada hapo juu stylish na comfortable

5847f7dbbdb81e1f2e07c40e96ca4426

Jumpsuit kama Victoria Beckham  pia sio mbaya

xixi-yang-street-style-lace-up-thigh-high-boots-3

Unaweza ukaenda na short denim pant, crop top na thigh high boots

61d2568cb4dcc3b83eab53c1d7df910b

Skater  skirt na crop top una weza kuistyle vile upendavyo

rihanna-Boujis-Club-london-stella-mccartney-iridescent-clutch-sandals-distressed-jeans-iridescent-hologram-crop-top-4-e1371489523510

ripped Jeans na crop top kama Rihanna pia una weza ukatisha mno

Kutupa maoni yako tembelea

Facebook – afroswaggamag

Instagram – afroswagga

Twitter – Afroswaggatz

Related posts