Ni jumatatu nyingie tena ya kivivuuu kutokana na harakati za bata za weekend, harakati hizi zina weza kukusahaulisha kuandaa mavazi yako ya ofisini. Na ukisha kuwa huja jiandaa basi utaichukia week yako nzima. Afroswagga tupo kwa ajili yako kama hutaondoka na moja basi mawili, ina wezekana usiwe na nguo zinazo fanana na tunazo weka lakini una weza ku style za kwako ki aina yake ukapata mionekano kama hii
siku moja moja sio mbaya kuingia ofisini na kitenge “ki Africa zaidi” ila tu mshono wako uwe wa ki ofisi na upo comfortable nao
Palazzo Pants haikubani sana ina kuachia, una weza kuvaa na shirt ya mikono mifupi ukatengeneza nywele zako vizuri kiofisi ofisi.
Body corn skirt na caped blazer pia ina kufaa kwa ofisini “simple yet stylish”
draw attention kwa kuvaa colorful outfits hii husaidia pia kukufanya ujisikie mwenye furaha ofisini
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…