SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

IDRIS SULTAN SUIT MOJA KATIKA RED CARPET 3
I'm A Celebrity

IDRIS SULTAN SUIT MOJA KATIKA RED CARPET 3 

Well Idris Sultan ni moja kati ya wavulana (wakaka,wababa) wanao vaa vizuri bongo tuna weza kusema his fashion game is on point, tunapenda tunacho kiona kutoka kwake lakini hili kidogo lime tushtua tunadhani kutokana na kupendeza kwake wengi tuna sahau kwamba tulisha iona hii suit katika red carpets nyingine.

tumeiona hii tuxedo mwenenyewe ndio anavyo iita katika red carpet ya Abryanz tuzo za fashion Uganda alienda ku host na kila mtu aliiongelea ali pendeza sana in it

ikaja kuonekana tena katika tuzo za MTV mama mwaka jana watu tena tukawa blinded bila ku notice kama tulisha iona sehemu kabla lakini

Juzi kwenye red carpet ya movie premeire ya KIUMENI ambayo na yeye alikuwepo akaivaa tena well hapa ndio tulipo stuka kwamba Idris ana i rotate hii suit well it’s not  a bad thing kama mtu una kipenda kitu chako lakini men hizi ni events kubwa ange jaribu tu kubadilisha but ina weza ikawa ni macho yetu pia labda ni suit tatu tofauti

je nyie mates mnaonaje ni yenyewe au lah? na kama ni yenyewe je ni vyema yeye kuirudia? tuambie kupita

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

4 Comments

  1. YBLIVE

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/idris-sultan-suit-moja-katika-red-carpet-3/ […]

  2. 늑대닷컴

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/idris-sultan-suit-moja-katika-red-carpet-3/ […]

  3. tv sizes best

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/idris-sultan-suit-moja-katika-red-carpet-3/ […]

  4. ufabtb

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/idris-sultan-suit-moja-katika-red-carpet-3/ […]

Leave a Reply