Ganiyat Salami ni modest fashion blogger ambae yeye blog yake na style zake zime bas upande wa ofisini zaidi yaani Work Fashion. Tumependa style zake na hizi ndizo tulizo zipata kutoka kwake ambazo wewe unaweza kuzitumia katika mialiko yako ya Iftar.
Unaweza kuvaa a long tuxedo dress kupata ile feeling ya Abaya lakini katika stylish way, unaweza kumalizia muonekano wako na stylish turban kama Ganiyat alivyo fanya amemalizia na red lips stick (always does the trick) fringe earrings na colorful pumps. Well simple, stylish & modest.
Kama ni mpenzi wa rangi unaweza kujaribu color blocking, hii uta stand out hasa kama hii Iftar ni mualiko wa ofisini au sehemu kubwa kubwa ukitaka attention iwe kwako basi go colorful ongezea accessories kwenye mtoko wako na usisahau a stylish hijab.
Na kama sio mpenzi wa magauni unaweza kuvaa a two piece outfit iwe skirt au suruali kama ambavyo Ganiyat amevaa, unaweza kuvaa rangi moja ukamaliza na a pop of color kwenye viatu, handbag au accessories zozote.
Ni matumaini yetu umepata idea ya nini uvae.
Unaweza kutembelea blog yake hapa samuraihijabi.com
au kumfollow instagram @samuraihijabi
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/iftar-outfit-ideas-kutoka-kwa-modest-fashion-blogger-ganiyat-salami/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/iftar-outfit-ideas-kutoka-kwa-modest-fashion-blogger-ganiyat-salami/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iftar-outfit-ideas-kutoka-kwa-modest-fashion-blogger-ganiyat-salami/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 52748 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iftar-outfit-ideas-kutoka-kwa-modest-fashion-blogger-ganiyat-salami/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iftar-outfit-ideas-kutoka-kwa-modest-fashion-blogger-ganiyat-salami/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iftar-outfit-ideas-kutoka-kwa-modest-fashion-blogger-ganiyat-salami/ […]