SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Iga Mishono Kutoka Kwa Hamisa Mobetto
Mitindo

Iga Mishono Kutoka Kwa Hamisa Mobetto 

Hamisa ni versatile yaani anabadilika kama kinyonga linapo kuja kwenye swala la fashion anaweza kuwa African leo na kesho ukamkuta Western na ni kitu kizuri tunasema confuse your enemy, Dunia isikuzoee na muonekano wa aina fulani kila siku.

Leo tunakuletea mishono ya kidada ya kitenge kutoka kwake ambayo na wewe unaweza kujaribu kushona na kuvaa sehemu mbalimbali.

Hii mishoni ni perfect kwa kwendea ofisini, kanisani au kwenye mikutano mbalimbali.

Tukiongelea stylish & elegant

Tuambie mshono upi unaweza kujaribu?

Related posts