Well spirit ya ku-slay kwenye harusi za watu haija ishia 2018, we are carrying that same energy to 2019 pia. leo tumemuona muigizaji, mwanamitindo na kwa sasa ni mwanamuziki Hamisa Mobetto akiwa amevali hili gauni ambalo tumeona linaweza kukufaa katika sherehe yako ijayo uwe mgeni mualikwa au mwenye sherehe, linafaa kwenye kitchen part, send off au traditional wedding.
Ametumia kitenge kushona hii gauni tumependa namna alivyoifanya ionekane modern, we love the little cleavage to show some skin
Amemalizia muonekano wake na silver strap sandals na chandelier earrings
huku akitu-disappoint kidogo na chaguo la nywele zake but the dress is a beautiful piece
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iga-mshono-kutoka-kwa-hamisa-mobetto/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/iga-mshono-kutoka-kwa-hamisa-mobetto/ […]