Mwezi huu AfroSwagga katika Ana Kwa Ana imefanya mohojianao na mbunifu Vyette ambaye yeye pamoja na mshirika wake Jonathan Lupilli ambaye ni mpiga picha ndio ambao wanaounda 2in1. Endelea….
Afroswagga – Two-one-accessories ni nani?
Two-one-accessories – Two In One Accessories ni a handmade jewerly brand and business, na pia incase ya curiosity labla 2in1 inamaanisha au simamia nini?, napenda kujivunia kua na pacha mwenzangu kutoka mfuko mmoja kwa jina la Yvonne na mimi Yvette, kwahiyo ni watu wawili lakin pia ni tunamuonekano mmoja. Lakini ni biashara inayo endeshwa na watu wawili yaani mimi (crafter, bidhaa na meneja wa bidhaana) pamoja na mwenzangu kwa jina la Jonathan Lupilli ambae ndie mpiga picha na visual designer, tuliungana pamoja kwa shauku na kueka wetu binafsi wa stadi ya kujenga sanaa ya kipekee ya katika sekta ya jewerly hapa nchini Tanzania.
Afroswagga – Umeanza ubunifu huu lini?
Two-one-accessories –Kwanza kabisa “ubunifu” kwangu ni kila kitu nachovaa mimi kama mimi Yvette,kua na muonekano wa pekee binafsi kwahiyo nilikua na shauku ya kubuni na kutumia zana na vifaa vilivyonavyomo kufikia lengo la kua na mtindo wangu binafsi. Kwahiyo nilianza kwanza na nguo,nywele, hatimaye jewerly/urembo. Nilivyokua chuo nilikua najitengenezea jewerly ambazo watu walikua wanatoa maoni mazuri juu ya mtindo wangu binafsi wa nguo na jewerly/urembo. Baada ya chuo nilichukua hatua ya kuanza rasmi 2in1 Accessories mwezi Oktoba, mwaka jana (2014) na mpaka sasa tuko kwenye collection yetu ya 7 iliozinduliwa Julai 25, 2015.
Afroswagga – Kwanini ubunifu wa Urembo na sio nguo?
Two-one-accessories –Kama nilivyosema mwanzoni( jibu la swali la 2) ubunifu kwangu sio urembo/jewerly tu. Nilianzia Ubunifu kwanza kwenye nguo zangu binafsi katika zoezi la “kufanya mwenywe” kubuni mitindo mbali mbali kwa njia ya ku-recycle ngua za zamani pia nikatambua kwamba kuna urahisi wa kutofautika zaidi na kuwa wa kipekee kwenyeurembo/jewerly na kwa hiyo ilinisaidia kujitambua uwezo wangu wa kubuni urembo/jewerly wenye muonekano wa kipekee/kitofauti.
Afroswagga –Nani ame kuisipire?
Two-one-accessories –Inakwenda bila kusema, mama yangu ndie alioni inspire kwasababu hakutuendekeza wakati tunakua haswa ikija maswala ya utumiaji wa fedha ovyo,kwahiyo tulishajiengea wakati tunakua“kwamba kama huwezi kumudu bei, kitengeneze mwenywe. Hakito lazima kua kama kile kinachouzwa lakini utakua wa kipeke” na mtu mwingine alie ni-inspire ni mama wa mama yangu yaani Bibi yangu ambao one of the most hard working woman i know even. Hata na umri walio nao wametufundisha kujua kutafuta chako kama mwanamke na kua na uhuru wa kifedha.Mpaka leo hii kile kutumika kuwa hobby mwanzoni sasa ni moja ya kazi yangu. Namshukuru sana Mungu kwa kunipendelea kua nao katika maisha yangu mpaka leo.
Afroswagga – Ugumu gani unakutana nao katika kazi yako?
Two-one-accessories – Moja ya changamoto kuu kwa hii kazi ya jewerly za mwilini ni kuwaelimisha wateja na bidhaa amabazo ni tofauti na zile walizosha zoea kabla. Mfano:Body chains, Head chains, Arm chains, Hand chains, Feet chains, Back(torso) chains, Necklaces, Thigh chains, Leg chains, Shoulder chains, and Faux septum nose rings. Hiyo ndo changamoto kubwa moja wapo.
Afroswagga – Ulisha wahi kushiriki katika jukwaa lolote la mitindo?
Two-one-accessories – Hapana. Sijawahi shiriki katika jukwaa lolote la mtindo, lakini hiyo ni moja ya lengo letu kuwa siku moja kushiriki katika majukwaa tofauti kama Swahili Fashion na kadhalika.
Afroswagga – Ndio kwanza umeanza je una malengo gani huko mbeleni?
Two-one-accessories – Lengo langu kuu ni siku moja kufika kua mjasirimali mkubwa,na pia lengo letu kuu ni kujenga desturi tukayaunda vifaa maalum kwa ajili ya wateja wetu, kwamba kueleza individuality/upekee na utofauti wao. Tunategemea kukua ki sanaa hii na pia hatimaye kutambulika kimataifa na kua na maduka mbali mbali nchini Tanzania.
Afroswagga – Ulishawahi kufikiria ku share idea yako na watu wengine?
Two-one-accessories –Ndio, nilishawahi kufikiri kujaribu kushare my idea na watu wengi lakin kwahiyo nikaona ni master my work of art kwanza, kama unashuku ya kufanya kitu lazma kwanza wewe mwenywe ujitume vya kutimiza lengo lako. Ili hata kama ukifanya kazi na mtu mwingine uwe ushafaham mapungufu yako katika kazi yako ya sanaa unayoifanya kwasababu ideas zipo nyingi sana ndio lakin hazitomaanisha kitu kama hamna utekelezaji.
Afroswagga – Nini kina kutia nguvu kuendelea kufanya huu ubunifu?
Two-one-accessories – Ni Mungu tu, kwa kupitia roho wake mtakatifu na kuniwezesha kubariki kazi ya mikono yangu. Kila siku najishaanga kwa jinsi Mungu anavyozidi kunibariki katika kukuaa kiuujuzi wa sanaa hii ya urembo, namrudishia sifa na utukufu to the almighty kwa kuniongoza na kuniwezesha siku zote za maisha yangu.
Afroswagga -Chochote ambacho una taka kuwaeleza watanzania na wateja wako kiujumla?
Two-one-accessories –Napenda kwanza kutoa shukrani za dhati kwa wateja wangu wote ambao walionipa changamoto zilizofanya nikue a kujifunza katika upungu wangu na pia kwa support yao am humbled kwakweli, ninawashukuru sana sana sana na ninawapenda kwasababu mmeniwezesha kutimiza ndoto yangu. Na pia mkae honjo bado mambo mengi zaidi na bora yanakuja. Stay tuned. THANK YOU & MUCH LOVE.
TAZAMA MAKUSANYO YA BAADHI YA KAZI ZILIZOFANYA NA TWO IN ONE ACCESSORIES
[URIS id=1128]
Related posts
9 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 38420 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 49631 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ijue-two-in-one-accessories/ […]