Jumamosi iliyopita mbunifu Ally Rehmtullah alikuwa na event iliyoitwa Kwetu Kwetu ambapo alituonyesha collection yake ya kufungia mwaka. Ally huwa anatoa collection moja tu kwa mwaka na huwa anaifanyia event kubwa kabisa. Mwaka huu alikuwa na hii kwetu kwetu collection.
Well tumekuletea picha za matukio katika event hio na nani alivaa nini,
Macrida Joseph Aaliyah Deo Stylist
Kutoka Kushoto ni mwanamitindo na stylist Macrida Joseph, katikati ni mtangazaji kutoka Wasafi Tv Aaliya na wa mwisho ni stylist Deo Stylist wao waliamua kuwa kwenye black color.
NelShah Kanji Jadore
Irada Mahadhi Martin Kadinda Missie Popular
hawa ni baadhi ya wageni waalikwa na mitoko yao katika siku hii, lakini hapo chini ni collection ya mbunifu Ally Rehmtullah.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/images-from-ally-rehmtullah-kwetu-kwetu-2020-event/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/images-from-ally-rehmtullah-kwetu-kwetu-2020-event/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/images-from-ally-rehmtullah-kwetu-kwetu-2020-event/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 36314 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/images-from-ally-rehmtullah-kwetu-kwetu-2020-event/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/images-from-ally-rehmtullah-kwetu-kwetu-2020-event/ […]