Wakati mwingine huitaji kutumia nguvu nyingi kuonekana fashionable ni jinsi tu ya kujipangilia ulicho nacho, hii imeonekana kwa hijabista huyu Iman Ayub ambae sisi tumemuona kupitia mtandao wa Instagram, Iman style yake ni chic na simple hana complications lakini anapendeza mno, but what we like the most ni jinsi anavyo funga signature turban yake so neat & stylish.
The Floral Skirt tumependa hii look so classy and yet fun to look, kama wewe ni hijabista au ungependa kuanza kuvaa hijab’s moja kati ya must have’s essentials ni pull neck / turtle neck top.
The stylish blue dress, perfect for a night out au shughulini
Business / office wear the long pencil skirt
Casual Not So Casual Outfit – hapa napo unatakiwa kuwa na long kimono incase ungependa kuvaa mavazi ya kubana zinasaidia kustiri maungo yako
Pop it with mustard color
the stylish abaya – always inabidi uwe nalo hili, abaya moja ambalo linabeba muoenakano mzima kwa ajili ya shughuli mbalimbali.
Tuambie umempenda Hijabista wetu huyu?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 99473 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iman-ayub-akituonyesha-namna-ya-kuwa-fashionable-hijabista/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/iman-ayub-akituonyesha-namna-ya-kuwa-fashionable-hijabista/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/iman-ayub-akituonyesha-namna-ya-kuwa-fashionable-hijabista/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/iman-ayub-akituonyesha-namna-ya-kuwa-fashionable-hijabista/ […]