SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Indian Theme Wedding Outfit And Makeup Inspiration From Zarina And Hamisa
How to Rock

Indian Theme Wedding Outfit And Makeup Inspiration From Zarina And Hamisa 

Ukiingia social network kinacho trend hapa kwetu na habari za baby mama wawili wa mwanamuziki Diamond Platnumz ambao ni Zarina Hassan A.K.A Zari The Bosslady na mwanamitindo Hamisa Mobetto, Kwetu tulicho kiona ni mapenzi yao na nguo za kihindi na wanazipatia hasa wakivaa tukaona tuwaletee na wasomaji wetu kama mna mtoko iwe party au harusi ambayo theme yake ni kihindi basi mpate kupata idea ya nini uvae na uvaaje kutoka kwao

Zari ametupia hizi picha zake hivi karibuni akiwa amevalia gauni refu jekundu lenye urembo maua ya gold na mtandio wake huku akiwa amepaka makeup simple akamalizia na bold red lipstick (her make up game too strong), nywele zilibanwa huku akiwa ame accessorize mtoko wake na Crystal Stud Headpiece,statementĀ Rhinestone Earring na bangili na pete.

Hamissa yeye alionekana kuvalia hizi outfit mara nyingi kidogo ambapo hapa alivaa purple dress yenye urembo wa silver akapitishia na mtandio wa pink huku akamilizia muonekano wake na statement stud headpiece ya silver na neutral makeup (simple & chic)

Tena tukamuona katika hii brown, pink & gold outfit ambapo iko kitupio cha gold ni favorite yetu

Gold & blue number

Kama unashehere ya aina hiyo ni matumaini yetu umepata idea ya nini unaweza kuvaa.

 

Related posts

1 Comment

  1. Hood Vent Cleaning San Anotnio

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/indian-theme-wedding-outfit-and-makeup-inspiration-from-zarina-and-hamisa/ […]

Leave a Reply