SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ini Edo Ametuonyesha Jinsi Ya Kurudi Kuvaa Mavazi Yako
Mitindo

Ini Edo Ametuonyesha Jinsi Ya Kurudi Kuvaa Mavazi Yako 

Mara nyingi huwa tunatilia mkazo kununua mavazi ambayo unaweza ku-style zaidi ya mara moja na kwa namna tofauti, unaweza kuwa na essentials pieces chache katika kabati lako lakini ukawa unazitumia vizuri katika ku-style. Huitaji kujaza kabati na kupoteza hela na nguvu nyingi katika kununua mavazi ili kubadilika kila siku unacho hitaji ni yale mavazi ambayo unaweza kuyarudia mara nyingi uwezavyo, leo tunakuletea muigizaji kutoka Nigeria Ini Edo ambae Ametuonyesha Jinsi Ya Kurudi Kuvaa Mavazi Yako.

Mara ya kwanza tulimuona Ini Edo akiwa amevalii hii sheer top na ruffle skirt nyeusi, akiwa  amemalizia muonekano wake na belt, hereni, orange clutch na white pumps

Mara ya pili tukamuona Ini akiwa in polka dot outfit ambapo alivaa a very stylish skirt ya white na polka dot nyeusi na turtleneck blouse nyeusi na polka dot nyeupe amemalizia muonekano wake na gray handbag, pumps nyeusi na miwani.

Wakati outfit ya mwisho alichomoa kimoja kutoka katika outfit ya kwanza na ya pili, ambapo alivaa hii sheer blouse kutoka katika outfit ya kwanza na polkadot skirt kutoka katika outfit ya pili akamaliza na orange clutch na white pumps.

anaweza kupata outfit nyingine kwa kuvaa ile turtle neck blouse na ruffle skirt katika outfit ya kwanza na ya pili, jifunze ku-work with what you have, badilisha na jaribu ku-dare mionekano tofauti tofauti.

Related posts

7 Comments

 1. Buy Ecuadorian Magic Mushrooms Online Germany,

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ini-edo-ametuonyesha-jinsi-ya-kurudi-kuvaa-mavazi-yako/ […]

 2. DMT Vape Pens For Sale Online

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ini-edo-ametuonyesha-jinsi-ya-kurudi-kuvaa-mavazi-yako/ […]

 3. basics

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/ini-edo-ametuonyesha-jinsi-ya-kurudi-kuvaa-mavazi-yako/ […]

 4. สล็อตเว็บตรง

  … [Trackback]

  […] There you can find 9640 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ini-edo-ametuonyesha-jinsi-ya-kurudi-kuvaa-mavazi-yako/ […]

 5. website

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ini-edo-ametuonyesha-jinsi-ya-kurudi-kuvaa-mavazi-yako/ […]

 6. mafia rap

  mafia rap

  mafia rap

 7. go to this website

  … [Trackback]

  […] There you will find 7266 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ini-edo-ametuonyesha-jinsi-ya-kurudi-kuvaa-mavazi-yako/ […]

Comments are closed.