Muigizaji kutoka Nigeria ambae pia ni slayer kwa namna moja au nyingine Ini Edo, Ini Edo ameonekana kubeba trending bag kutoka kampuni ya Chloe ,

Bag inaitwa Chloe Nile Minaudiere na inauzwa Eur 1,230, Ambapo ni sawa na pesa yetu ya madafu 3242527.35/-

Amebeba pochi hii nyekundu huku akiwa amevalia jumpsuit nyeusi ambayo ame accessorize na mkanda mweusi amemalizia mtoko wake na bold red lipstick.

well if you like it buy it usiangalie bei. fumba macho.