Okay so 40 ya King Salah ilikuwa na mambo mengi ambayo yalipaswa kuongelewa, tukiyaongea yote basi tutakesha sisi tumechagua matatu muhimu nayo ni red carpet review, Martin Kadinda kusema hatovalishwa na mtu mwingine lakini na hili tumeona lisipite halijaongelewa.
We all went gaga na vazi la Zamaradi, wengi wamelisifia ofcourse sisi pia tulisifia lilikuwa zuri na kitu cha tofauti kidogo tukasema mbunifu wa hili gauni anaweza kujakutukomboa wa Tanzania na hii hali ya kila siku kuona mtindo mmoja au mshono mmoja,
Lakini guess what? the joke was on us…. its a copytuation kama sio kuwa inspired. Thanks to our mates ambao hawaachi kitu kipite kuwa un-noticed ( kizuri au kibaya) waka tutag kwenye hii picha ya mbunifu kutoka Kosovo Dona Matoshi ambae yeye aliweka picha ya gauni ambalo linaonekana kuwa sawa kabisa na lile alilovaa Zamaradi, picha hii ilikuwa uploaded Mwezi wa 5 mwaka huu,
View this post on Instagram#DM#donamatoshi# @donamatoshiofficial
A post shared by Dona Matoshi (@donamatoshiofficial) on
kasoro ni ndogo ndogo tu lakini ukiingalia design ni ile ile well labda idea zimegongana, lakini pia labda alikuwa inspired na inawezekana pia aliamua ku-copy Afrogang nyinyi wenzetu mnaonaje?
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…