Ni mchanganyiko wa Rwanda na Tanzania, ni moja kati ya wa Tanzania wengi wenye page za kuvutia katika mtandao wa Istagram na kwa kuthibisha hilo huyu msichana si maarufu na wala hafanyii biashara zake Instagram lakini ana Followers 49,076 huku akiwa ame wa follow 226 tu kati ya hao. Wengi hupenda mitindo yake na wengi humshauri afungue Blog ya Fashion sababu yupo vizuri katika hio sekta, Jina lake alitumialo Instagram ni Ms_Ris_Eddy unaweza mfuata kama utavutiwa na style yake pia
Big Hair,Crop top, Skater Skirt na sexy heels, Bold Lipstick unaweza kutoka na huu mtoko usiku.
Little Sexy Black Dress ame accessories na Gold accessories
All White Every Thing
Njano na Military Green akiwa kamalizia muonekano na mid floral heels
Blue na Nude Shades
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 70114 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/instagram-fashionista-ms_ris_eddy/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/instagram-fashionista-ms_ris_eddy/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/instagram-fashionista-ms_ris_eddy/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/instagram-fashionista-ms_ris_eddy/ […]