SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

INSTAGRAM FASHIONISTA @STYLEISMYTHING
Mitindo

INSTAGRAM FASHIONISTA @STYLEISMYTHING 

Ni Mu-  Angola na M- British, Anaitwa Soraya De Calvanho sisi tunamuita malkia wa color blocking, Ushawahi kumuona mtu kavaa rangi ambazo wewe unaziogopa? tena ka mix na kapendeza mpaka una jiuliza How? basi ni huyu dada yeye ni Digital Influencer na Stylist. Tumependa jinsi anavyo break the rules na anavyo fikiria outside the box, katika mavazi she is very neat japo ana vaa rangi rangi lakini ana vutia mno.

Black & Pink kama unaona Hio Fur yake hapo begani ni pink flani hivi inayo enda kwenye orange, wakati clutch ni baby pink (color blocker)

12317650_924994724214604_775184864_n

Black & White12904989_679331675542346_1313183432_n

 

nyeupe, orange, pink, kijani akikupigia simu akakwambia kavaa rangi zote hizo una weza kusema hapana lakini akija ukamuona utabaki mdomo wazi to be honest tunapenda anavyo pangilia rangi13320045_848827705261268_1227712089_n

orange, white, na pink shades13381387_1702824773310741_1272452361_n

blue, black, gold, red na nude rangi nne katika mwili mmoja and yet kapendeza 13423558_1054205684673507_294318798_n

Kama una maoni tuandike chini kwenye box ya maoni au

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggamtz

Facebook -afroswaggamag

 

Related posts