Anaitwa Luna ana ishi London, kwake ana sema yeye hajui lolote kuhusu fashion na wala hajui ulimwengu huo upoje japo anacho kijua ni kwamba yeye ni style hunter, yeye hajali kuhusu rules ana zi break tu ili mradi ame style vazi lake na kupendeza, na leo amekua Fashionista wetu kwa jinsi anavyo jua kupangilia mavazi yake
Luna katika yellow outfits, we must say this color is every thing. kama bado hauna rangi hii katika kabati yako itabidi ununue
Fur game strong pia, katika kitu ambacho hutakiwi ku-miss ni fur coat au fur scarf ni very helpful hasa pale ambapo una doubt na mtoko wako una weza kutupia ukaonekana chic na stylish
Strapless outfits
Black on Black
Hope ume enjoy na kujifunza baadhi ya vitu kutoka kwa Luna
tupe maoni yako kupitia
Instagram – afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Facebook – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…