SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

INSTAGRAM FAVORITE FASHIONISTA 2016 – MS_RIS_EDDY
Mitindo

INSTAGRAM FAVORITE FASHIONISTA 2016 – MS_RIS_EDDY 

Una weza kumpata Instagram kama ms_ris_eddy, tume wahi kumuweka mara kadhaa kutokana na kuvutiwa na mitindo yake (bonyeza hapa kuona kama ulipitwa) amekuwa aki slay na kutupa outfit goals mara kwa mara.  Ni m-Tanzania lakini pia ni m-Rwanda una weza kuthibitisha hilo kwa jinsi alivyo mzuri na urefu wake pia, lakini pia ni Fashion lover ambae wengi tunge penda awe na blog yake, maana yupo vizuri katika hio sekta.

Tukiwa tuna imaliza 2016 amekuwa moja kati ya ma Fashionista kutoka east Africa ambao tume wapenda zaidi, Ms_ris_eddy si mtu wa kwenda na trend kabisa ila ni vile ana pangilia mavazi yake na kupendeza kuna mfanya awe ana onekana ana enda na wakati. Hizi ni baadhi tu ya zilizo tuvutia kutoka kwake

black outfit kutoka kwake una weza kuona alivyo style the LBD yake na gold accessories

13167323_1021010537952666_248960167_n 13722146_585184288330015_1941434729_n

yellow tops tuna penda jinsi anavyo style rangi zake

13549469_565028650336287_914348469_n 14156587_114470469011116_785403580_n

all white outfis kama msichana na kama fashionista huwa ana jaribu kuwa simple lakini elegant na pia huwa asahau ku add kitu kimoja au viwili kama a statement thing kama tuna weza kuona picha ya kwanza ame ongezea mkufu na picha  ya pili  the compliter  piece ni hio fur blazer

13392863_226972801023428_1189082792_n 14449290_805915572884218_8366889454190723072_n

Pia huwa ana keep it african kwa kuvaa vitenge

kitenge off shoulder top

14714470_1056437001141856_8721486863296102400_n

kitenge boots ambazo alisema hajanunua ame tengeneza mwenyewe hii ni sababu nyingine ya sisi kumchagua, kama a fashionista una hitaji kujua kufanya baadhi ya vitu mwenyewe saa nyingine things tend to be expensive au kuto kuwa vile unavyo taka14693643_198463883937465_3598384262706888704_n

kitenge blazer

13534290_575526802630076_705899562_n

black & white outfits

13712361_521588111373707_677073107_n 15043917_1133844126722770_716229424885792768_n

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Related posts