SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

International Model Herieth Paul Stuns In Channel Number On Dress To Kill Magazine Cover
Mitindo

International Model Herieth Paul Stuns In Channel Number On Dress To Kill Magazine Cover 

Kama kuna mwanamitindo Tanzania inabidi tushukuru kwamba ni mzawa wa Tanzania basi ni huyu msichana Herieth Paul, she is business. hatuwezi kuhesabu ni mara ngapi ame itangaza hii Nchi vyema kwa kuwa featured kwenye fashion magazines kubwa, kutembea kwenye run ways za wabunifu wakubwa lakini kuwa ambassador wa brand mbalimbali za makeup na mavazi.

Well kwa sasa Herieth amekuwa kati ya model wa tatu walio chaguliwa kuwa katika cover la gazeti la Dress To Kill Magazine ambalo linasheherekea miaka yake 10

Katika Cover hio Herieth amevaa Fantasy tweed crop top, jacket, skirt, and earrings kutoka katika latest collection ya brand ya Channel (spring ready to wear 2018) ambayo aliiedebut Paris katika Paris Fashion Week

Herieth ameonekana kuvalia Fantasy tweed crop top, jacket, skirt, and earrings kutoka Channel huku akiwa na natural hair zake na simple make up as usual.

Photography: @d.picard
Fashion Editor: @carytauben
Hair and Makeup: @andrewly at @teamm_mgmt using @maybelline
Model: @heriethpaul at @angiesmodelsand @foliomontreal
Creative Director: @sylvainblaiskillmagazine
Graphic Design: @cesarmontreal
Clothing: Fantasy tweed crop top, jacket, skirt, and earrings @chanelofficial.

Outfits nyingine alizo zivaa katika jarida hilo ni

Clothing: Coat, shirt, and shorts @prada. Boots @off____white x @jimmychoo. Earrings @balenciaga at @ssense.

na hii

Clothing: Dress @msgm at @ssense. Earrings @isabelmarant at @ssense.

Tume penda hii cover as imemuonyesha the younger side of her.

Related posts