Tumepata nafasi ya kuongea na hijabista Irada Styles ambae yeye ni modesty stylist na designer, leo tunaongelea kuhusu muonekano wake wa Sinema Zetu Film Festival ambapo tumepata kumuuliza maswali machache kuhusu muonekano wake na wengine kwa ujumla
Afroswagga: imekuchukua masaa mangapi ku-create the look
Irada: Imenichukua chini ya nusu saa ku comeup with the look (Thursday Night)
One day of stiching (Friday) and fitting
And few hrs za final touches (Saturday Afternoon)
Nilikuwa na fabrics tayari (Ile Lace) nliongezea tu the net (Tutu) Accessories (Scarf, Shoes, Earings, Brooch and the rest i had them) i just knew with that Furchia (Hot Pink) color Black would be the perfect Balance
So generally ilinichukua kama masaa 36 ku come up with the whole look but hii ni kutokana nlikuwa occupied na pieces za tarehe 9 za Tanzanite Womens Forum (Kumvisha Miriam Odemba) it’s ao Huge to me i almost had a panick attack just thinking about it coz i was too excited!! And i was busy with “Work” related to SZIFF nikasahau about the night itself kuwa am supposed to “dress up”
Afroswagga: As a hijabista unatofautisha vipi occassional hijab & regular hijab?
Irada: Regular Hijab to me its a plain cotton scarfs coz of the heat, something simple but “clean too” no “Turban” beneath the Hijab unless there is a reason for that…and may be sometimes “Printed” though i wouldn’t recommend sana as imepitwa na wakati, zamanii printed was “a thing” but nowadays plain Hijab is “a thing” coz it goes with any outfit bila kukulimit hata kama it doesn’t match with the outfit you can block color and still look good.
Kuna those days of a week ambazo ziko exception to “Dress up” maybe on Monday’s, Wednesdays, or Friday’s, siku una presentation, a very important meeting or you interview etc unaweza vaa A plain scarf but a Bold Color like “Red” or “Blue” lazima uwe na those highlight days of a week where you push a lit bit extra than the plains regular ones…
Occasional Hijab
Hii lazima material iwe tofauti, shimmering, a bit shinny, with embroidery like stones, smooth (Silky) like, fabrics inakuwa nyepes zaidi, inaweza kuwa ina decor or details like matamvua pemben (japo huwa sipendelei sana) coz matamvua sometimes yanaku limit nguo gani uvalie, au yatakaa vibaya ukishindwa kuufunga mtandio vizuri
Double layers (Hijab za aina mbili au rangi mbili) ya ndani na nje, Turban na scarf, au zote ukafunga nje kwa kuzipishanisha ili kuongeza “ladha” zaidi
Na pia occasionally Hijab ina ufungaji tofauti na Regular
Regular unaweza chagua styles za kufunga uka stick nazo ila occasional unahitaj ufungaji tofauti utakao compliment the whole look na kuzingatia details za dress kama ni high neck, V neck with cleavage, lower back ili iweze ku “cover up” vizuri kama ina details kifuani ukizifunika haito make sense…kama details ziko mabegani lazma ifunge in a way to compliment them…
Afroswagga: ugumu gani unapitia katika kuchagua mavazi ya red carpet kama hijabista?
Irada: Ugumu unakuja pale ambapo i use most of my time on regular outings so whenever it comes to Red Carpet nalazimika kutengeneza au kuandaa a whole new look..
Pia unataka ku meet the standard za Modesty at the same time you are torn between Fashion and Style unaweza jikuta you give in to either one of them mara chache ukaenda sawa to both of them…
Pia kupata the look itayoendana na your taste and style inakuwa shida kidogo as zinaweza kuwa overboard…au less than expectations.
So custom made is the only option most of the time!!!
Just because most of ready to wear are either sleeveless, too tight and revealing, and too much glittery which suits only a group of ethnic (Arabs) wich is more likely associated with Islam and Hijab
Afroswagga: kama utaambiwa u rate look yako ya sziff utaipa ngapi?
Irada: I wanted something different kabisa na nilivyozoeleka, from the design, color everything which i think nliweza ku achieve…nimezoeleka with Ball Dressed outfit..flowy..when it comes to evening..have never been to (Nguva) type..so this was the first time i think as long as i could remember….Ku rate nakuachia wewe!
Afroswagga: Favorite piece yako uliyoivaa usiku ule wa sziff
Irada: The Dress!
Afroswagga: huwa una consider vitu gani while choosing for a red carpet look
Irada: Theme (Must Stick with the theme)
Tea Party “Dress like it” plain colors, simple yet classy, mostly dresses (Pencils sana au a bit puffy sio bururu bururu) rangi flan amazing za utulivu au shouting zisochusha..(For a Tea Party)
Then Style (I always go for that uniqueness) from my previous looks..
Different, with my signature Ofcozzz
Nothing (Tacky, Shabby) defined not Casual!!!
Comfortability (Niweze kukaa na kutembea vizuri) hivyo vitu viqi visiwe mateso bila chuki kwangu
Nice Shoes is a MUST!!!!!!!!And the Make up iendane na the outfit (Weusi hapa tunaumizwaga sana) especially the lipstick lazima i complement the whole look!!!
Usisahau Kunukia!!! Thats Important…VERY!!
Afroswagga: theme ilikua kuvaa kistaarabu je unadhani imetendewa haki?
Irada: Yes..wengi walivaa Kistaarabu..na wanajua Azam kwa Bakhresa hamna kukaa kaa Uchi 😜 japo wenzangu na mimi wachache hawakukosekana
Afroswagga; If you have to name your favorite looks of the night ni ipi na ipi?
Irada: Nlikiwa busy sana kikazi zaidi, sikupata wasaa sana wa ku look around na watu walipofika walikaa na fashion pages chache zili cover the Red Carpet so ngumu kuzijua ila kwa uchache:
1. Jokate nimependa the “Wings” like design kwa mbele, kwa nyuma am not sure
2. Miss Tanzania Queen japo sikumuona sana
3. Lulu the last Outfit (Jumpsuit) ya Black
4. Mobeto (Utofauti) but ni kama bado yuko kwenye designs zake zile zile (White, High Slit kwa nyuma, Tight like a gloves, kifuani pia) i thought the finishing ya pale mbele kwenye pickaboo kama not too neat…i loved the side cape train/veil with the nyoya (Japo i think nyoya lisingekuwepo) but nyoya its on trend,aMonalisa pia (She gave is something different)
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/irada-styles-took-us-through-her-look-for-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/irada-styles-took-us-through-her-look-for-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/irada-styles-took-us-through-her-look-for-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 41607 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/irada-styles-took-us-through-her-look-for-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/irada-styles-took-us-through-her-look-for-sinema-zetu-international-film-festival-2019/ […]
beautiful music
beautiful music