Tumemuona muigizaji Irene Uwoya akiwa amevalia set ya Fendi First Bag & Shoes, Bidhaa hizi kutoka fendi zimekuwa debuted katika Fendi’s Fall/Winter 2021 Ready-to-wear Collection mapema mwaka huu. Na kwa utabiri wa fashionista’s wengi hizi bidhaa za Fendi zitaishika dunia kama ambavyo tuliona Bottega Bags & Shoes.
Well handbag hizi zinakuja katika size 3 Mini, Small na Medium pia rangi 5 Black, beige, brown, pink & white na bei zake ni $ 1,290 Sawa na Tsh 2,969,580.

Wakati kwa upande wa viatu vinakuja katika rangi 4 Black, Beige, Pink na Brwn na bei yake ni Tsh 1,390 sawa na tsh 3,199,780

Kama ni original basi Irene ametumia Tsh 6,169,360/- kununua set hii. Tumesema kama ni original kutokana na ujumbe aliouweka katika picha yake aliyovalia set hio ikisema “Hakuna Kitu Duniani Ambacho Ni Bandia Au Halisi”, unadhani alikuwa anatupa jiwe gizani au ni caption tu?

Irene alivaa set yake hio na pink trench coat akamalizia muonekano wake na miwani, saa, bracelets na hereni

Tuambie unachofikiria katika box letu la comment hapo chini
Related posts
9 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
[…] legit online casinos usa players […]
[…] 100 mg generic viagra […]
[…] cialis 40 mg generic […]
[…] 20 mg of cialis per day […]
[…] viagra dosage 75mg […]
[…] how to buy viagra online canada […]
[…] precio tadalafil 20 mg […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/irene-uwoya-spotted-in-fendi-first-bag-shoes/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/irene-uwoya-spotted-in-fendi-first-bag-shoes/ […]