SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Is Toyin Lawani Crossing The Thin Line Between Fashion And Religion?
Mitindo

Is Toyin Lawani Crossing The Thin Line Between Fashion And Religion? 

We all know kuna ule mstari mwembamba kati ya mitindo na dini ambao hatutakiwi kuuvuka. Nigerian stylist na mfanyabiashara Toyin Lawani ameonekana kuuvuka mstari huu na kuvaa mavazi ambayo ni ya dini kwa namna tofauti iliyowakera wengi.

Katika movie premiere ya prophetess ambapo theme ya mavazi ilikuwa iendane na jina la movie, wengi walivaa simple na stylish kuendana na theme hii lakini Toyin yeye aliamua kuwa wa tofauti kwa kuvaa kama nun/sister huku gauni yake ikiwa na mipasuo mirefu mno pande zote mbili, mipasuo hii ilikuwa mirefu kiasi cha mpaka kiunoni. Vazi hili lilizua mjadala kwenye mitandao ya kijamii lakini mwenyewe alijibu kwa kusema alishawahi kufanya kitu hichohicho akiwa amevalia hijab kabla na kwamba ata release picha nyingine zaidi ya hizi.

Katika utetezi wake pia alisema watu wanatakiwa kutofautisha kazi ya dini na sanaa na kwamba mavazi ni mavazi na dini ni spiritual, well unaweza kusoma maelezo yake katika picha hapo chini na utuambie upo upande upi?

Related posts

1 Comment

  1. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/is-toyin-lawani-crossing-the-thin-line-between-fashion-and-religion/ […]

Comments are closed.