SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Its A Holiday Sparkle Party
Mitindo

Its A Holiday Sparkle Party 

Tunajua December ni muda wa mapumziko, watoto wanafunga shule, baadhi ya ofisi zinafungwa for holiday’s Christmas & New Year. Tunapoongelea December we all know mitaa inakuwa ina wakawaka na Christmas trees & decorations, hiki ndio kile kipindi cha ku-party na kuvaa mavazi yetu ya sequin well huko mitandaoni kila mtu ana sparkle kwa kuvaa shimmer & shine outfits na hizi ndizo tulizoziona

Former Model and now a make up artist & beauty therapist Gyver Meena tumemuona akiwa amevalia hii ombre silver & black cold shoulder dress kutoka kwa mbunifu tuesdaybyjumanne, she looked gorgeous in this dress akiwa amemalizia muonekano wake na laid hair style, nude makeup and black pumps. Unaweza kuvaa hivi as a wedding guest au kwenye party ambayo inahitaji u-dress up.

Tanzania Stylist Swalha Msabaha tumemuona in this brown shimmer sexy dress, akiwa amevalia na black strap heels amemalizia na no makeup face na laid hair, this unaweza kuvaa kwenye date night or going to party with the ladies.

Muigizaji Yvonne Cherry au Monalisa tumemuona in black off shoulder sequin dress, akiwa ameamalizia na drop statement earrings na middle part hair style ( seems like this style is trending) Well hii ya Monalisa unaweza kuivaa as a wedding guest au a party inayo hitaji u-dress up.

Irene Uwoya in this gold sequin number iliyo mkaa vizuri mwilini, the dress ina slit ambayo inaonyesha her leg, kichwani ameweka bob hair style, kama unamualiko katika part ambayo inakuhitaji u-dress up kama Costume or fancy dress party au Fundraising party this is a good choice also.

Vera Sidika yeye tumemuona akiwa amevalia hii body hugging short column dress, amemalizia muonekano wake na nude heels, eye catching makeup, unaweza kuvaa hii outfit kama unaenda kwenye dinner party au Cocktail party

Hamisa Mobetto wore this short sparkle dress on her birthday party you can too kwenye hii holiday kama una birthday, or any simple party ambayo haiitaji u-dress up sana.

We hope tumekupa idea ya namna au wapi unaweza kuvaa that sparkle dress of yours on this holiday season

Related posts

3 Comments

  1. blue sunday microdose

    … [Trackback]

    […] Here you can find 10935 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/its-a-holiday-sparkle-party/ […]

  2. buy belgian chocolate

    … [Trackback]

    […] Here you can find 36240 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/its-a-holiday-sparkle-party/ […]

  3. 무료 영화 다시보기

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/its-a-holiday-sparkle-party/ […]

Comments are closed.