SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Its A Jungle Affair With Vanessa Mdee
Mitindo

Its A Jungle Affair With Vanessa Mdee 

Vanessa Mdee isn’t here to play linapokuja kwenye swala la fashion, ni moja kati ya watu maarufu ambao wana dare sana kuwa tofauti katika swala zima la mionekano yao.

Week hii tumemuona Vanessa akiwa amevalia hii Mixed Animal Prints outfit ambao alichagua kutupeleka msituni, akiwa amevalia leopard prints.

Katika tips ambazo wengi hutumia na rahisi kufanya wakati wa kuvaa animal print ni kuvaa same prints katika rangi tofauti. Na hicho ndicho ambacho Vanessa ameonekana kufanya amevaa leopard print katika rangi 3.

Wakati tukiwa tumeshazoea kuona wasanii wetu wakiwa fashionable na sio stylish we say this sistah here is killing this game effortlessly, amekuwa styled na stylist Macrida Joseph.

Tuambie unaionaje hii outfit ya Vanessa?

Related posts