Karl Otto Lagerfeld head creative director of the fashion house Chanel as well as the Italian house Fendi aliwahi kusema ” Trend Is The Last Stage Before Tacky” and we see no lie, kitu kikiwa kwenye trend kinapendwa sana lakini badala ya hapo kinachofuata ni kuchukia na kutokutaka hata kukiona au kukisikia.
Wakati 2018 inaanza it was all fun and games kuona watu wanafanya theme za mavazi katika event zao mbalimbali tunaweza kusema walikuwa wanapendeza hasa, theme kubwa mwaka huu zilikuwa mbili Nigerian Theme na Royal Theme kwa sasa tunahisi kama imetosha we should introduce something new imekuwa too much royal birthday party, royal bridal shower, royal tea part,
Nigerian wedding, Nigerian wear kitchen party, Nigerian wear 40 we mean its enough can we be more creative please?
We love us these themes kwa maana watu wanazipatia kwelikweli na wanapendeza labda kwa sababu ni common theme na wengi wanazijua au tunaweza kusema ni wazuri wa kucopy lakini pia inachosha kuona kitu kilekile kila mahali, we need to see something new tena kutoka Tanzania, tunajua wengi watapakimbia hapa as hatuna hata vazi la taifa basi tufanye ku-trend na mavazi ya kwetu wenyewe, kwani Nigeria waliwezaje na sisi tunashindwa vipi? tujaribu kufanya vya kwetu na wao tuwaone wakisema wamevaa Tanzanian Wedding Theme.
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 72845 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/its-about-time-to-say-good-bye-to-nigerian-and-royal-event-themes/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 5152 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/its-about-time-to-say-good-bye-to-nigerian-and-royal-event-themes/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/its-about-time-to-say-good-bye-to-nigerian-and-royal-event-themes/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/its-about-time-to-say-good-bye-to-nigerian-and-royal-event-themes/ […]