SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Its March And Nigerian Fashion Industry Is Already Making Waves On Vogue
Mitindo

Its March And Nigerian Fashion Industry Is Already Making Waves On Vogue 

Mnakumbuka ile harusi ya mwanamuziki na muigizaji kutoka Nigeria ambayo ilichukua weeks kuisha? yes Bank W na mkewe Adesua Etomi-Wellington did that, well Adesua Etomi-Wellington ameonekana katika cover ya gazeti kubwa la fashion la VOGUE. Hili gazeti kila mtu ambae yupo famous au yupo kwenye fashion industry anatamani kuwa featured humo.

The cover ilishirikisha wanawake 14 kutoka Nchi mbalimbali waliopo katika movie industry, kutoka Hollywood, Nollywood, Bollywood na sehemu mbalimbali, katika gazeti hilo kuliwa na wacheza movie maarufu kama  Angelababy (@angelababyct), Doona Bae (@doonabae), #ElizabethDebicki, Golshifteh Farahani (@golfarahani), #LivLisaFries, Eiza Gonzalez (@eizagonzalez), Hera Hilmar (@herahilmar), #ScarlettJohansson, Vanessa Kirby (@vanessa__kirby), Bruna Marquezine (@brunamarquezine), Deepika Padukone (@deepikapadukone), #AlbaRohrwacherand Lea Seydoux (@leaseydoux_genuine)

Humu ndani wameongelea zaidi kuhusu  movie stars who are proud of where they’re from—and are eager to take on the world. Talking about lifting other Adesua Etomi-Wellington  alimchagua makeup artist kutoka Nigeria kumfanyia makeup yake katika cover hii, we mean our fellow Tanzanian’s ya heard?

unaweza kusoma zaidi hapa 14 Countries, 14 Superstars: The Global Actors Who Know No Limits

tupo hapa waiting for our turn na sisi sikumoja kumuona msanii kutoka kwetu akiwa featured on Vogue.

Credits
Photographer: Mikael Jansson /@mikaeljansson
Stylist: Camilla Nickerson
Makeup: Hannah Murray @hannah_murray1 / Tito Ibeleme @t.alamodebeauty
Hair headpieces: @juliendys
Production: North Six and Day international / @northsixproductionsAnd @dayinternational
Florals: Michael George / @michaelgeorgeflowers

Related posts