SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jacqueline Mengi Atuonyesha Namna 3 Za Kubeba Handbag
Mitindo

Jacqueline Mengi Atuonyesha Namna 3 Za Kubeba Handbag 

Jacqueline Ntuyabaliwe ni moja kati ya watu maarufu ambao tunaweza kusema handbag collection yake ni Goals, from Channel to Dior you name it. Kitu ambacho sisi kimetuvutia kwake ni namna ambavyo ana beba handbag zake.

Ana class ways ambazo huwa ana beba handbag sio kama sisi wengine ambao huwa tunazibeba kama tumebeba gunia, ( ukitaka kujua namna unavyobeba handbag kunasema nini kuhusu wewe ingia hapa Jua Nini Unachosema Kwa Namna Unavyobeba Mkoba Wako )

  • The highly maintanace style

Back to Jacqueline yeye huwa anapenda kubeba handbag yake kwenye kiwiko cha mkono ambapo inasemekana ubebaji huu wa handbag unamaanisha “highly maintanace”

  • The I Am More Than A Woman Style

Hii style ni ya kubeba handbag kwenye kiganja kama una ning’iniza chini, ukiangalia picha hapo chini utaelewa zaidi. Style hii inasemekana huwa inamaanisha kwamba wewe ni zaidi ya mwanamke ambae jamii wanakufikiria na Jacqueline ni moja ya style yake pendwa kabisa ya kubeba mkoba

  • The I Am Trust Worthy Style

Hii ni ile style ambayo unabeba handbag karibu na mwili wako mfano kwapani au unaikumbatia, zamani tulikuwa tunachukulia hii style kama uoga lakini kumbe ma-expert wa haya mambo wanasema style hii ya kubeba mkoba inasema wewe ni wa kuaminika.

Well Afromates je wewe huwa unabeba vipi mkoba wako?

Related posts

2 Comments

  1. check

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-mengi-atuonyesha-namna-3-za-kubeba-handbag/ […]

  2. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-mengi-atuonyesha-namna-3-za-kubeba-handbag/ […]

Comments are closed.