SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jacqueline Mengi, Juma Jux, Gigy Money And Elizabeth Michael Serving In Black
Mitindo

Jacqueline Mengi, Juma Jux, Gigy Money And Elizabeth Michael Serving In Black 

Week iliyopita rangi nyeusi imeonekana kutamba mno, watu maarufu mbalimbali wameonekana wakiivalia well who wouldn’t wakati kunamsemo unasema “Black And White Always Look Modern”. Tumewaona watu maarufu kama Jacqueline Mengi, Juma Jux, Gigy Money Na Elizabeth Michael wakiwa kwenye black outfits

Jacqueline Mengi yeye alivaa hii backless black dress yenye embellishment mabegani na mbele kidogo, amemalizia muonekano wake kwa wave weave, minimum accessories na makeup.

Elizabeth Michael yeye alitu-serve black kwenye hii long pencil black dress ambapo amemalizia muonekano wake na nude makeup na honey color weaving.

Juma Jux Alitupa black na touch ya njano, Juma looked classic tuna wonder kwanini hapati u-ambassador he is one of unproblematic brother ambae tunae Tanzania tena anavaa vyema, this look is just neat and classy.

Gigy Money yeye alikuwa in matching outfit na mwanae huku yeye akiwa in black and yellow wakati Myla alikuwa in black & white looking so bute in Cardi B’s voice

Well Afromates tuambie look ya nani ina deserve kuwa look of the week?

Related posts

2 Comments

  1. Double Cupcake 1g Diamonds

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-mengi-juma-jux-gigy-money-and-elizabeth-michael-serving-in-black/ […]

  2. สล็อตวอเลท

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-mengi-juma-jux-gigy-money-and-elizabeth-michael-serving-in-black/ […]

Comments are closed.