SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jacqueline Sakrii Terry X Bijoux Trendy Collection Is Giving Us Summer Vibes
Design

Jacqueline Sakrii Terry X Bijoux Trendy Collection Is Giving Us Summer Vibes 

Katika kitu ambacho tulikitilia msisitizo mwaka huu na kuomba kifanyike ni collaboration kutoka kwa wabunifu na watu maarufu mbalimbali, wenzetu huwa wanafanya sana hizi collaboration na zinasaidia katika kukuza kazi zao lakini pia kuonekana na Nchi nyingine.

Mbunifu Bijoux Na Collection Yake Mpya “RAFIKI” Katika Mercedes-BenzAfrican Fashion Festival Ghana

Mbunifu Bijoux Trendy na fashionista Jacqueline Sakrii Terry wameonekana kulifanyia kazi hili, ambapo tarehe 16 walilunch collection yao waliyo collaborate inayoitwa Jacqueline Sakrii Terry X Bijoux Trendy Collection.

Collection ni wearable, ina pieces za aina mbalimbali kama Jumpsuits, skirt, dresses, suruali, set’s na vingine vingi. Tumependa kwamba wame tengeneza aina mbalimbali za pieces kwa watu wenye personality tofauti, kama mpenda gauni anapata, suruali, jumpsuit etc.

Collection ni ya batiki, kama unamjua Bijoux ni mbunifu ambae signature fabric yake ni batiki. Huwa tunapenda namna ambavyo anazi upgrade na kuzipa muonekano wa kisasa, kwetu sisi tulivyo iona hii collection tulipata summer vibes, dancing, beach, and colorful.

Kwa mujibu wa Bijoux na Jacqueline kila piece utakayo nunua kutoka katika collection yao hii kuna asilimia ambayo itaenda kusaidia wenye uhitaji.

Related posts