Jacqueline Wolper na Happiness Magesse wameonekana waki valia kimono cha kitenge kutoka kwa mbunifu mmoja aitwae Mgecici Design je nani katokelezea zaidi  na kimono hiki

13108806_1066990360013866_198347964_n

Happiness alivaa kimono hiki na kigauni cheusi na pochi uku akiwa kavalia viatu vyekunduindex1

Jacqueline yeye alivaa vest nyeusi suruali nyeusi na mkoba huku pia akiwa ame vaa viatu vyekundu na wote kwa pamoja wali accessorize kwa kuvaa miwani hereni na urembo wa dhahabu mikononi

 

jl

Comments

comments