Jacqueline Wolper au mama raj (harmonize) kama ambavyo wengi tunamjua kwa sasa, amekua akitupa some serious slaying siku mpaka siku katika mwezi huu mtukufu, ni jinsi ambavyo ana pangilia rangi, anavyo vaa mavazi yake na make up yake pia viremba. Unaweza kusema Jaq ni our ramadhani fashionista Goals maana kila siku ana kuja na mtoko mpya na ni zaidi ya alio uvaa siku iliyo pita.
nyeusi na nyekundu u never go wrong na hizi rangi
Hii ina weza kuwa ndio tuliyo ipenda zaidi ni jinsi ambavyo ame come up na hizi rangi nyekundu, nyeusi,pink na grey kama hukuwai kujua kama zinaendana learn from Jacque
Simple ila stylish kama anavyo jiita wolperstylish
hapa ana tuma shades of brown
blue na njano pia uwaga zina noga na kwa jaque ana penda ku accessorize na hio ndo main thing kila mwanamke ana paswa kujua ku accessorize
all black kila kitu aka ongezea na kitenge cha kimono sisi tumependa zote je wewe ume penda ipi? tuambie chini kwenye sanduku la comment.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-anavyo-slay-mwezi-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-anavyo-slay-mwezi-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-anavyo-slay-mwezi-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-anavyo-slay-mwezi-huu/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-anavyo-slay-mwezi-huu/ […]