True Love Magazine East Africa is making waves, baada ya Wema Sepetu, Zarina Hassan sasa hivi ni zamu ya muigizaji, mbunifu, fashionista na mjasiriamali Jacqueline Wolper. Wolper ataonekana katika gazeti hili ambalo linatoka mwenzi huu July, yeye ndio atakuwa cover girl na ataongelea kuhusu mahusiano yake, kazi na biashara zake.
Tupo hapa kuiongelea hii cover,
Wolper ameonekana kuvaa off shoulder purple Magenta top ambayo ina sleeve ndefu, tumependa rangi ya top ina shout attention, tumependa kwamba hawajamuweka kisanii lakini more of a business woman,
Hawakuishia kwenye top tu wame mu- accessorize na gold statement jewelries ambazo ni chocker, pete, bangles na hereni, the colors zina compliment each other na zimependeza na kuvutia pamoja, japo these accessories looks cheap, ukiangalia finishing ya choker sio nzuri something about it ambayo ina shout “am from local store” na bangle nayo zipo tumeziona nyingi unaweza kuzipata hata mwenge kwenye vinyago no offense ila hivyo ndivyo tunavyo ziona hizi jewelries
Tukija kwenye nywele tumependa kwamba kapewa rangi tofauti na ambazo tumezoea, we like this color on her imempa utofauti na tuliozoea style ya nywele pia ilivyo wekwa on point tumamuona Kerry Washington au tunamjua kama Olivia Pope imekaa kikubwa zaidi though tunaona lace kwa mbali but its all good.
Makeup hatujui kama ndio walitaka kumfanya awe wa tofauti au aonekane mkubwa lakini this isn’t working for us, wame’mbadilisha kabisa kutoka kwa Wolper tunaemjua kwenda mtu mwingine ni kama picha imekuwa edited sana or something , we are not digging this makeup tumemuona Wolper akiwa katika makeup nyingi za kawaida na tunaweza kusema she looked good on those make up than this one, we are lost.
Location @radissonblunbo
Stylist @njoki.mohammed
Hair @poshpalaceofficial
Makeup @sunshinebalogun
Fashion intern @raey_kimmie
Feature Editor @katdera @ Woodlands Office Park
we can’t wait kuona outfit zake baada ya gazeti kutoka, we can’t say hatujapenda cover maana wametupa Wolper wa tofauti na wala hatuwezi kusema tumelipenda we are in the middle may be the story in it will be good.
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-is-a-cover-girl-on-true-love-magazine-july-issue/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-is-a-cover-girl-on-true-love-magazine-july-issue/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 99900 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-is-a-cover-girl-on-true-love-magazine-july-issue/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-is-a-cover-girl-on-true-love-magazine-july-issue/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-is-a-cover-girl-on-true-love-magazine-july-issue/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-is-a-cover-girl-on-true-love-magazine-july-issue/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-is-a-cover-girl-on-true-love-magazine-july-issue/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 60048 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-is-a-cover-girl-on-true-love-magazine-july-issue/ […]