Jacqueline Wolper amekuwa engaged siku za hivi karibuni na baba watoto wake Rich Mitindo, lakini imeonekana nguo alizovaa alishawahi kuvaa katika engagement yake na Chidy Design, tumemuuliza kimetokea nini na haya ndio yalikuwa majibu yake
Afro: Okay tumeona watu wana compare outfit Outfit zako za engagement outfit ya Chid Design na ya juzi Je ni outfit unayoipenda au imetokea tu?
Wolper: me ndio mavazi yangu nikiwa Na meetings za heshima au mara nyingi nikiwa dukani jumapili ngoja nikupigie video nikutumie blouse zangu za hivyo Na tight zote za leather
umeona hizo vdio zote si ndio, hizo heels chui ni aina moja kila kitu but zipo mbili yani Nipo addicted nikipenda kitu nanunua vinavyofanana ili kikiaribika kimoja nabaki na kimoja same Na blauz ni aina moja rangi tofaut same Na tight so sio tight moja hiyo ni tofaut jaribu kuzoom kama ni mtu wa fashion utakua umenielewa
well kuangalia video ambayo ametutumia angalia hapa chini.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-kuhusu-kurudia-outfit-kwenye-engagement/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 48278 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-kuhusu-kurudia-outfit-kwenye-engagement/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/jacqueline-wolper-kuhusu-kurudia-outfit-kwenye-engagement/ […]